Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Leo hii tarehe 28 April, 2025, imekuwa ni siku rasmi ya ufunguzi wa masomo katika Madrasat Al-Hadi Islamic Center iliyopo chini ya Uwakilishi wa Jamiat Al-Mustafa (s) nchini Malawi, na kurudi kwa wanafunzi kutoka likizoni. Ufunguzi huu wa masomo ya Madrasat hii umeambatana na Kisomo cha Qur'an Tukufu.
28 Aprili 2025 - 15:00
News ID: 1553144
Madrasat Imam Al-Hadi Islamic Center - Malawi
Your Comment